Official TIA Admission Entry Requirements 2023/2024

Tanzania Institute of Accountancy, TIA admission entry requirements for the 2023/2024 academic year.

TIA admission entry requirements

The management of the Tanzania Institute of Accountancy (TIA) has released the entry requirements for successful admission into the undergraduate and postgraduate (Degree, Ph.D., Masters, Diploma, Certificate, Short Course, and Non-Degree) programmes respectively for the 2023/2024 academic year.

Interested Candidate may apply to any of the Tanzania Institute of Accountancy (TIA) Courses at any time and be admitted subject to fulfilling all TIA admission entry requirements for the 2023/2024 academic year.

TIA Minimum Admission Entry Requirements 2023/2024.

SIFA ZA KUJIUNGANA KOZI MBALIMBALI:

1.0    CHETI CHA AWALI (BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE):

                                 I.            Mwombaji awe amefaulu angalau masomo 4 kwa kiwango cha alama “D” au zaidi kwenye mtihani wa kidato cha nne; Au

                               II.            Awe na NVA II na ufaulu wa angalau masomo mawili kwenye mtihani wa kidato cha nne.

 

2.0    STASHADA (DIPLOMA):

  1. Aliyehitimu Cheti cha Awali (NTA Level 4) mwenye ufaulu wa masomo angalau 4 kwenye mtihani wa kidato cha nne; Au
  2. Aliyehitimu Kidato cha Sita mwenye ufaulu wa kuanzia Principal moja na Subsidiary moja; Au
  3. Aliyehitimu NVA III mwenye ufaulu wa masomo mawili kwenye mtihani wa kidato cha nne.

 

3.0    SHAHADA (BACHELOR DEGREE):

 

                                    I.   AliyehitimuKidato cha SitamwenyePrincipal passes 2 au zaidi (isipokuwamasomoyadini) najumlayaalamazisizopungua  4.0 kwatafsiriifuatayo: –

A – 5, B+ – 4, B – 3, C – 2, D – 1 (waliomalizamwaka 2014 na 2015)

A – 5, B – 4, C – 3, D – 2, E – 1 (waliomalizakablayamwaka 2014, na 2016)

Pia mwombaji awe amefauluHisabatinaKingerezakatikamtihaniwakidato cha nnekwawaombajiwaKozizaUhasibu (BAC)UnunuzinaUgavi (BPLM), naUhasibuwaFedhazaUmma (BPSAF); Au

 

                               II.            AliyehitimuStashahada/NTA Level 6 mwenye GPA ya 3.5 au upper second class; Au

                             III.            Aliyehitimu FTC mwenyewastaniwaalama “B”; Au

                             IV.            AliyehitimuStashahadayaUalimumwenyewastaniwaalama “B+”.

 

4.0    STASHAHADA YA UZAMILI (POSTGRADUATE DIPLOMA):

  1. Mwombaji awe na shahada ya kwanza au Stashahada ya Juu katika fani husika kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na NACTE/ TCU; Au
  2. Waliopitia kwenye bodi za fani husika (NBAA/PSPTB); Intermidiate stage au zaidi kwa NBAA na Proffesional level 3 au zaidi kwa PSPTB.

For more information and inquiries about TIA admission entry requirements, you can contact the Tanzania Institute of Accountancy (TIA) by visiting the institution’s official website or campus.

However, if you have any queries regarding the Tanzania Institute of Accountancy (TIA) Entry Requirements 2023/2024Please kindly DROP A COMMENT below and we will respond to it as soon as possible.

SHARE THIS POST WITH OTHERS!

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here